Swahili News
2.98K subscribers
84.2K photos
36.4K videos
24 files
236K links
🐾
Download Telegram
Swahili News
Photo
Voice of America
UN yaipatia Ethiopia msaada wa dharura wa $35 milioni

Umoja wa Mataifa umetangaza msaada wa dharura wenye thamani ya dola milioni 35 kwa raia waliojikuta katikati ya mapigano katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia.